Hivi inakuwaje emergence call zinakubali hata kama hamna network? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi inakuwaje emergence call zinakubali hata kama hamna network?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ziroseventytwo, Oct 4, 2012.

 1. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,523
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  WanaJF, inawezekana vp kupiga simu ya emergence sehemu isiyo na network ya mtandao wowote wa simu. Kwa mfano,unaweza kuwa vijijini, na hakuna network, screan ya simu yako inakuandikia SOS emergence only na ukipiga unasikia ikiita. Hawa watu wa emergence kama polisi nk wao wanatumia access gani ya network?
   
 2. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  enhee. True dat pia hata kama cmu haina line[simcard] ! Na hata ikiwa imelokiwa na password emergence call huwa unaweza kupiga kama kawa! Tunaombeni ufafanuzi
   
 3. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,523
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  WanaJF, inawezekana vp kupiga simu ya emergence sehemu isiyo na network ya mtandao wowote wa simu. Kwa mfano,unaweza kuwa vijijini, na hakuna network, screan ya simu yako inakuandikia SOS emergence only na ukipiga unasikia ikiita. Hawa watu wa emergence kama polisi nk wao wanatumia access gani ya network?
   
 4. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli swali zuri wanaojuwa wa2pe majibu
   
 5. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  HATA IKIWA HAINA SIMCARD UKIPIGA EMERGENCE INAKUBALI. hapo ndo penye siri kubwa,
  Ngoja waje wale walio deep in IT watutonye kidogo hayo maujanja.
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kupiga sio issue unaweza kupiga na ukaongea na the other end? Nasema ivo maana mimi nina line ya Voda yaani hata kama nimeizima unaweza ukanipigia ikaita kama kawaida lakini kumbe sipo hewani
   
 7. N

  Nyasiro Verified User

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kila simu inauwezo wa kufanya mawasiliano hata kama haina laini. Laini sio kigezo mbona hatushangai modem za CDMA znakonekti intanet na hazina laini!. Nnachofaham mimi ni kwamba simu znategemea hizi minara kuweza kufanya kazi kama hakuna Network ya mtandao wowote ule kwa eneo hilo cdhan kama emegency call itafanya kazi. Kwa hiyo emegency call imewezeshwa kutumia mtandao wowote. Haya ni mawazo yangu tu.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Emergency Call 112 ni Toll Free ambayo imekuwa imesficha 112 ni shortcode tu,zile huwa zinaingiliana unaweza ukawa voda lkn kupiga Emergency ukatumia infrastracture ya Airtel kukufikisha Destination.....Kupiga 112 lazima network iwepo sema labda sio mnara wa kampuni yako husika.
   
 9. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,290
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Yes it is very much possible to have emergency call without SIM or even have emergency call with SIM if you are in different operators zone. This is FCC requirement.

  When SIM is not present the device user's interface will show no service but if you dial certain emergency call numbers (112, 911, 119 and 113 etc) the call will go through.


  This is how it works:

  In normal scenario, when a normal call is placed from the device, it sends a CM SERVICE REQUEST signal (NAS Layer Message) to Network with Type of call as "Mobile Originating". In this scenario the Network will look for whether user is subscribed to network, billing etc etc.

  In Emergency call, the message send from phone to network, the CM SERVICE REQUEST Type is set to Emergency Call. Network interprets this in different way and will allow the call to go through.
   
 10. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,985
  Likes Received: 2,892
  Trophy Points: 280
  Sijui mimi ndio malugha ya watu yananichenga au mwanamahesabu kakopi na kupesti tu! Tumia lugha rahisi basi kutuelewesha kama ulisoma na kuelewa mkuu au hapo ulipokopishia ungemalizia kukopi vyote bana!
   
 11. A

  Abdson Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo ni kwamba Emergency number ina ruhusa kutumia mnara wowote ulio karibu wa simu either voda,airtel etc.Cause ni kitu kimeshawekwa,Uki dial 911 mnara wowote unatoa msaada wa mawasiliano kwenda sehemu husika,Hata kama laini haipo,Namba hizo tayari zimeshasetiwa kutumiwa bure.
   
 12. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,631
  Likes Received: 2,055
  Trophy Points: 280
  pia handset yenyewe bila kuwa na laini ina uwezo wa ku-sense mitando yote iliyopo katika eneo husika hivyo unapoweka laini mojawapo inasaidia kutambua mawimbi ya mtandao husika na ukiitoa bado inakuwa na mawasiliano though inakuwa haitambui kwa kuwa hakuna laini ila kwa emergency call mambo yanakuwa poa kwa kuwa ni agreement ya kimataifa zaidi hivyo hata watengeneza simu worldwide lazima watengeneze hivyo
   
 13. A

  Abdson Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yes bro,upo sawa kabisa,kwa sababu teknolojia nyingi tunatumia mfumo wa kimataifa kutokana na chama cha umoja wa mainjini IEEE,mfano vipenyo vya dvd,karatasi za A4,umbo la simcards e.t.c
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Sio kweli kwamba unaweza kupiga bila network, lazima kuwe na network ila sio lazima iwe network yako na sio lazima uwe na SIM au credit haya ni makubaliono ya makampuni ya simu na sheria za mawasiliano ili mtu aweze kupiga simu ya emergency bila vikwazo.
   
 15. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,523
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  mkuu kama utapita tena hapa tafadhali iweke kwa lugha ya Kiswahili
   
 16. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,523
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  mkuu, inakuwaje ukapata emergence call sehemu kusio na mnara wa kampuni yeyote ya cm? Airtel,Vodacom nk wote hawapo then ukidial unapata, hapa inatumika access gani ya network?
   
 17. N

  Nyasiro Verified User

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu ni lazima kuwepo na mnara au network ya mtandao wowote ili ifanye kazi. kama hakuna voda,tigo,airtel,zantel, au mtandao wowote ule emegency kall haitafanya kazi
   
 18. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Je huo utaratibu unaotumia emergency call hatuwezi kutumia maujanja ya jf tukatumia kwenye cm zetu?
   
 19. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  sema tu natumia mobile ningekugongea like
   
 20. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ukisema lazma network iwepo sikuelewi. Mbona hata kama hamna simcard unaweza kupiga?
   
Loading...