danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 575
- 146
Habarini wadau nimekuwa nikibadili ROM mara kwa mara kwenye sim yangu samsung gt 5301 lakini jana nilipojaribu kuweka rom (alpha rom) simu inaganda kwenye kwenye picha inayoonyesha model na jina la simu (hata ile logo ya samsung haitokei)nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini maana hii rom nilishawai itumia hapo nyuma ila tatizo limeanza mara baada ya kubugi nikainstall custom rom ya vodafone 875. Naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie kutatua hili.