wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 113
Habari njema kwa watumiaji wa windows phone , leo nimepata update ya whasap call
Habari njema kwa watumiaji wa windows phone , leo nimepata update ya whasap call
Sasa hata audio mp3 unatuma kupitia whasap
Unamaanisha unaweza kutuma attachment ya audio kama kwenye android?
Ila mbona nimejaribu kupiga ,kwa kutumia whatsap ila haijakaa poa? Au ni networks