Msaada kuhusu htc one m7

Msaada kuhusu htc one m7

dudukila

Senior Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
134
Reaction score
37
HAbar zenu wadau naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kupata display ya htc one m7 mana yangu imenidondoka na kioo kimepasuka ila tachi inafanya kazi kama kawaida jee ninaweza pia kupata na housing ya htc one m7 hapa dar na je ni duka gan hilooo naweza kupata
 
HAbar zenu wadau naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kupata display ya htc one m7 mana yangu imenidondoka na kioo kimepasuka ila tachi inafanya kazi kama kawaida jee ninaweza pia kupata na housing ya htc one m7 hapa dar na je ni duka gan hilooo naweza kupata

jaribu k.koo ukikosa ingia ebay
 
Ok sawa kaka ila kariakoo kubwa nilikuwa kama unajua specific area then nijinyoonye moja kwa moja
 
kaka nikufumbue tu, hicho kilichopasuka sio kioo chenyewe cha simu bali ni front glass tu (gorilla glass) kama touch inafanya kazi na unaweza kuona kwenye kioo basi kioo cha simu ni kizima. layer ya juu ya display ya simu ndio gorilla glass

sapphire-vs-gorilla-glass-smartphone-screens.png


hizo front glass zinauzwa bei rahisi sana hadi dola 4 au chini ya hapo ebay sababu ni kitu kidogo, ila huku kwetu wana tabia kioo cha mbele kikivunjika wanataka wakupige kizinga ubadilishe display nzima. kitu ambacho hakifiki hata 10,000 wanataka ukinunue kwa zaidi ya laki mbili.

ushauri wangu zunguka madukani tafuta frontglass bei around 10,000 hadi 30,000 mwisho kama utakosa agizia ebay. hii hapa link ebay ingia uone angalia result zenye neno front glass m7

front glass m7 | eBay
 
Poa poa broooo asante sana nashukuru kwa ushauri wako tanx alot
 
Yan nashukuru sana kwa msaada wako nadhan kesho nitaenda kulifanyia kazi ili swala nitaanza kucheck hapo kariakoo then sijajua hawa jamaa wa ebay inapataje hizo bidhaa zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom