Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani wanajf mtaalamu yeyote juu ya utumiaji Wa Hii mtandao juu ya service Hii ya mpesa, tigopesa na airtel anipe dondoo kidogo kuhusu Hii business Je, inalipa? Pili nina mtaji kama Wa 500,000 je...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari zenu wandugu,kwa kweli wandugu nina ndoto ya kuja kuwa muandaaji bora sana wa music ila wapi chuo bora cha music production au nani ana mautundu haya nipate kufunguliwa 2 akili kidogo coz...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamii Forum leo vipi kuna tatizo gani naona kuna muda JF inakuwa offline. Vipi ni users wamekuwa wengi? Jitahidi m boreshi mitambo hasa kipindi hichi cha uchaguzi imekuwa tegemeo letu kupata update.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, naombeni msaada kwa wenye kufaham hii kitu, nimenunua king'amuzi cha zuku full, na kukipeleka kijiji huku wilaya ya nzega, nimejaribu kutafuta fundi wa kunifanyia installation...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Jamani naomba kujua kuna madhara gani endapo niikiweka pc kitandani
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Simu lumia 520 imejilock imejaribiwa hard reset imeshindika , sasa inasema kuna dakika 22000 mpaka ijiunlock. Je kuna njia nyingine ya kutatua tatizo hili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jioni wapendwa samahani ninatumia HTC desire A8181, nilikuwa naomba msaada kwenye YouTube inaandika no network connection lakini kwingine mtandao Upo vizuri na kinapelekea kutoonyesha...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
wadau ninaomba kueleweshwa vizuri ni baada ya kuiroot hii Simu tecno h6 Kwa kutumia kingoroot sasa kuna hii superuser app INA sehemu ambayo ina application kama explore,greenifly nk sasa...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Wakuu nina samsung tabs s 10.1 32gb cellular nililetewa mwaka jana, imeanza tatizo la kuwa inajirestart fluently yaani ikisha jirestart ukiigusa tu screen inajerestart tena..nimeihard resert but...
0 Reactions
2 Replies
539 Views
App gani kwa android itakayoniwezesha kupata clouds fm nimedownload baadhi but zina support zingine clouds inagoma msaada wadau
2 Reactions
2 Replies
3K Views
wana jukwaa habari.. nina maswali naomba msaada jinsi ya kudownload nyimbo bila kutumia iTune, kuna app nzuri zinazoweza nisaidia na nikasikiliza nyimbo au videos bila kua online??baada ya...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Well, kuna uzi niliwahi kuusoma hapa jamvini nafikiri yapata mwaka sasa tangu niusome kwa bahati nimeusahau wadau. Ulikuwa unauzungumzia kuwa, kama mtu ameweka thread ndani ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu salaam kuna data zangu ambazo ni ''web base'',sasa jamaa tumezinguana nao ambao nilikuwa natumia web site yao. Kwa sasa nina web yangu je? Naweza fanya usanii gani ili data zangu zote...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa,kati ya Window Phone hasa Nokia Lumia/ Microsoft na Android hasa Tecno BOOM J7,ipi inafaa zaidi. Nalenga zaidi kwenye ufanisi wa internet,charge na uimara.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Fundi cctv anahitajika kuja kunifungia Camera 1. Niko Ilala Boma. Nipigie fasta tunegotiate.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa miaka sasa, ushindani mkubwa umekuwepo kati ya Android OS (inayomilikiwa na Google) na iOS (inayomilikiwa na Apple. Operating System ya Android ni tofauti kidogo na iOS, Android ni mradi huru...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu nimeibiwa simu aina ya htc m8 sasa nmeskia kuwa naweza kutafuta mtandaoni na kumfichua mwizi sehemu alipo kwa kutumia mtandao. Sasa ni hatua zipi natakiwa kuzifuata za kumbaini...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau habari, naomba msaada wenu simu yangu ya techno Phantom z mini inagoma kufanya updates, na kufanya installation ya application mpya, Inasema "installing" tu muda wote
0 Reactions
5 Replies
919 Views
Niliipiga window baada ya hapo haitoi sauti inaandika sound device not installed
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kaka ulikuwa unawasikia hawa jamaa sasa leo nimeamini kweli watakuwa tishio ktk tasnia hii ya mawasiliano nchini Tanzania. Kwa muda mrefu akina voda wametuibia sana hadi wakafikia kufunga ndoa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…