Tecno p5 ina tatizo la mtandao

Tecno p5 ina tatizo la mtandao

yusoh

Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Jamani kuna sim ya tecno p5 ina tatizo la mtando yaani nikiweka line 2 tigo na voda inasoma ya tigo tu ya voda inasoma mara nyingine inakatika kabisa. Pia 3g haipo active. lakini cha kushangaza internal storage ni 4gb lakn avalable space ni 27mb hata baada ya kui format na kui hard reset. naomba msaada kwa mwenye ufahamu kuhusu ili.
 
tecno huwa unatoa simu kwa matoleo mawili mfano MTK na SPD hivyo MTK huwa na uwezo kuliko SPD angalia vizuri simu yako itakuwa ni tecno H5 nasio P5 na katika H5 kuna SPD na MTK, Tecno H5 SPD huwa na space ndogo ya application na pia haina internal memory hivyo mpaka uweke memory kadi na network yake ni 2g ila Tecno H5 MTK huwa na 3g network na huwa na space kubwa na apps na inauwezo wa ndani yaan internal memory 2gb
 
ingia HAPA
 
Msaada mkuu, SPD ndiyo nini?
 
asante mkuu. kwa hiyo hamna namna ya kupata 3g au kuibadilisha hiyo chipset!
 
Jamani kuna sim ya tecno p5 ina tatizo la mtando yaani nikiweka line 2 tigo na voda inasoma ya tigo tu ya voda inasoma mara nyingine inakatika kabisa. Pia 3g haipo active. lakini cha kushangaza internal storage ni 4gb lakn avalable space ni 27mb hata baada ya kui format na kui hard reset. naomba msaada kwa mwenye ufahamu kuhusu ili.

mkuu
tatizo la tecno p5 kuna old version na new version sasa rom ya new version naona haipo vizuri kwenye kusappot 3G
sasa cha kufanya tafuta rom ya old version uinstall kwenye simu yako download hapa
https://docs.google.com/uc?id=0B85FNp3Q7agZSGR0Zi1vWXZuVjA&export=download

na maelezo kuhusu jinsi ya kuflash hapa
http://romkingz.blogspot.com/2015/06/how-to-unbrickflash-mediatek-mtk-devices.html?m=1
 
Back
Top Bottom