Je unafahamu kuflash simu NOKIA 1280 Wakati imejilock?......NJIA NI NIRAHISI.

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
Knowledge bure hapa nimeanza kwa style mpya

Maelekezo:

1.Zima simu yako kisha toa line na washatena bila line

2.Tafuta unlock code yake yenye tarakimu nane(8)

3.Andika wp unlock code(za hiyo cmu) 1#

Kwa maelezo zaidi tembelea JigambeAds au e-mail g.francis@jigambe.com
 
tafuta unlock code generator ya hiyo model kwa kuaandika Free nokia 1280 unlock code generator kwenye google search kisha andika imei zake yani serials zake kwenye hiyo software utazipata ndo utaendelea na hiyo process niliyo kuelekeza.
 
Knowledge bure hapa nimeanza kwa style mpya

Maelekezo:

1.Zima simu yako kisha toa line na washatena bila line

2.Tafuta unlock code yake yenye tarakimu nane(8)

3.Andika wp unlock code(za hiyo cmu) 1#

Kwa maelezo zaidi tembelea JigambeAds au e-mail g.francis@jigambe.com

Hapa kuna mawili kwanza tatizo sio njia ya kui unlock the problem ni kupata unlock code yenyewe! pili apa unazungumzia ikiwa locked kwenye

mtandao mmoja au ikiwa just phone locked..or master code generator? coz kwa kupata ya kufungua itumie mitandao mingine kwa google sidhani

kama utaweza kupata ndio kuna sites ambazo wanprovide free unlock codes kwa kutumia hizo generators but they never work and three tries na

simu inakuwa hard locked.
 
Fine!!
In this way the good place to get a unlocking instructions for nokia mobile, i visit this site Mobile Unlock Guide , here it gives the easy methods to get the mobile unlocked..........
 
duh!! nimetoka kapa,nilijua pengine kuna mbinu mpya ya kufinya kama wanavyofinya android kwa power na volume pamoja na home
 
Back
Top Bottom