Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
kaka nimeshapata jawabu, kuna button moja nilibonyeza kwa bahati mbayaKaka Jerrymsigwa hili ni Gari gani?
Ni gari aina gani? Hauna button ya Power uliyobonyeza kwenye gear? Inawaka full time?
Ninavyofahamu kuna mifumo miwili kwenye aina za magari.
1.Hydrolic. Na
2. Power
Hydolic ni sofisticated na mwendeshaji hutumia nguvu kidogo kuOperate stearring, brake,clutch.
Power system ni ya kizamani sana, au inawezakutumika endapo hydrolic system ita Fail.
Naomba wataalamu waje hapa, huo ndio uelewa wangu