Jinsi ya kutumia internet bule

Jinsi ya kutumia internet bule

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Poleni na majukumu wana Jf, kwa wale wataalam waliobobea kwenye IT, je kuna jinsi ya kutumia internet free pasipo malipo tena Unlimited! jibu kama ni ndiyo nini kinafanyika na inawezekanaje? lengo c kama nataka kufanya bali kwa faida yangu na watu wengine ni kutaka kujua kama hii kitu ipo kweli.
 
internet bule/bure
kama hautaki kuiba kwanini unataka kujua inafanyikaje? kama wewe utakuwa na biashara fulani kisha ugundue watu wanajipati huduma bure na unapata hasara utajisikiaje?
 
Poleni na majukumu wana Jf, kwa wale wataalam waliobobea kwenye IT, je kuna jinsi ya kutumia internet free pasipo malipo tena Unlimited! jibu kama ni ndiyo nini kinafanyika na inawezekanaje? lengo c kama nataka kufanya bali kwa faida yangu na watu wengine ni kutaka kujua kama hii kitu ipo kweli.

Mkuu,lakini mbona unaonekana wewe sio mgeni sana humu,inakuwaje unauliza swali kama hili?Au ulisafiri kidogo hapa katikati?
 
Mb 200 free na airtel kuanzia saa 6 usiku
Nunua line za airtel za kutosha ikifika saa 6 usiku anza kutumia line moja baada ya nyingine kila ikimaliza mb 200 unaweka nyingine
Hakuna free internet unlimited kwasasa
 
MAmbulula 2ko weng hzo mb hv huwa zatmika hata kwa pc
 
ujanjaujanja hausaidii,ni tabia mbaya kupenda vya bure ni sawa kutamani kujua jinsi ya kupata pesa za bure kutoka benki au mfukoni mwa mtu bila idhini yake ali ukijua kuwa haiwezekani.!!!
 
huduma za internet zimeshuka sana wajanja night mia tano usiku kucha bado tigo na voda unaweza nunua bundle ya gb 1 kwa mia 900 bado unataka vya bure tu NB. vya bure vina madhara.
 
Muone nJunwa. For the first time alinipatia Unlimited Internet One Month for 10,000/- Nikakamua 12GB, saivi nshaizoea kwa hiyo sinA uchu nayo tena, hivyo kwa Mwezi nnapiga vitatu hadi Sita. Na mara nyingi huwa napenda kustream Videos Online.

Halafu, huu mpango wa 1GB kwa Tsh900 umetulia kishenzi. Nimejaribi mara mbili nkaitizama Serie ya KOREA-IRIS episodes kama 7. Yaaan baab kubwa. Halafu ukiwa na spotify ndio Mpango Mzima baaake.
 
'spotify inakuwaje na inasaidia nn mkuu...'
 
Mwenzio anataka ya bure akimaanisha no price at all
 
ukiwa na galaxy ukanunua bando ya wiki unakula mzigo fresh tuu mpaka kwenye pc ukidownload kies app kwenye simu na pc yako. huna haja ya modem wala malipo ya ziada..
 
Back
Top Bottom