Wapi niende nika compress file kubwa 1800Mb liwe let say 500Mb?

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Nimechoka ku download viji application vinavyo copmress file kiduchu. Nataka niende kwa mtu hata nimlipe. Nina file langu liko katika form ya PDF ni kubwa nataka liwe kiduchu. Nipo Dar

Msaada wajameni
 
Nimechoka ku download viji application vinavyo copmress file kiduchu. Nataka niende kwa mtu hata nimlipe. Nina file langu liko ktk form ya acrobat reader ni kubwa nataka liwe kiduchu
Msaada wajameni

tumia hii software nimetest file la mb 6.8 nikapata output ya mb 2.8 almost asilimia 60 compression yake. inamaana file lako la gb 1.8 huwenda likapungua hadi around mb 700.

ila compression kubwa inafanyika kama document ni black and white.

http://kat.cr/advanced-pdf-compressor-2012-with-key-karanpc-t6942299.html
 
mkuu ni mrejesho. Tukirudi kwenye mada, encoding inayotumika kwa pdf ukicompress sana unaharibu mambo. Hata hivyo sio mbaya jaribu hapa
Asante aluu. Kiswahili kigumu. poa poa ntajarib na hii pia nione.
 
Compression inategemea zaidi aina ya file kuliko program unayotumia kukompress, kwa mfano text file zinakompress vizuri zaidi kuliko picha, pdf nayo haita compress kwa kiasi hicho unachotaka, hapa ninaongelea lossless compression kama zip hii maana yake haupotezi data/quality zozote kwenye original file.

Sasa kama hiyo program iliyowekwa hapo juu inaondoa data kwenye file ili kuifanya ndogo zaidi lakini unapoteza quality kwenye hiyo PDF. Ni kama vile kuchukua picha ya 12 Megapizel na kuishusha hadi 5 Megapixel, file inakuwa ndogo ila quality nayo inapungua.
 
mkuu ni mrejesho. Tukirudi kwenye mada, encoding inayotumika kwa pdf ukicompress sana unaharibu mambo. Hata hivyo sio mbaya jaribu hapa

mzee hapo hamna kitu mambo niyaleyale. Nimechukua file nimelidrag n drrop. Linachukua mwaka mzima hamna kitu bila bila
 
Nimejaribu tena imecompress from 1.83Mb to 1.68Mb. Hamna kitu hapa bila bila
 
Compression inategemea zaidi aina ya file kuliko program unayotumia kukompress, kwa mfano text file zinakompress vizuri zaidi kuliko picha, pdf nayo haita compress kwa kiasi hicho unachotaka, hapa ninaongelea lossless compression kama zip hii maana yake haupotezi data/quality zozote kwenye original file.

Sasa kama hiyo program iliyowekwa hapo juu inaondoa data kwenye file ili kuifanya ndogo zaidi lakini unapoteza quality kwenye hiyo PDF. Ni kama vile kuchukua picha ya 12 Megapizel na kuishusha hadi 5 Megapixel, file inakuwa ndogo ila quality nayo inapungua.

Mkuu kwa sasa quality sio issue sana. Kama una prgrm unayoijua nipe nicheze nayo. Quality sio dili sana kwangu.
 
Mkuu mimi naona mambo yale yale. Hem hii link uliontumia ifungue hii hii na uniambie nafa je from there. bila bila yaani

seems hujui kudownload torrent, nimekuekea link ya kawaida. hio ni software ukishadownload utaitumia offline

Download tripo9.zip

ingia hio link then uncheck use our dowload manager then click download.

hope pia unajua kufungua zip files
 
nIMEfanya kama ulivoniambia. Kwanza asante. pili kuanza kucompress naenda file, naopen file langu ktk ile file button juu kushoto, tena nachagua 50%, then na click compress.
Result inayokuja ni 0.7kb while ma file was 1.83mb. Haya sasa nikienda pale chini view document,,,,, document inakuja blank yaani blank kabisa.
sasa sijui nakosea wapi.
Sorry kwa uandishi mmbaya nna haraka kidogo sorry sana
 
Kaka usimess na setting yoyote just load file then click compress.
 
Nimejaribu tena imecompress from 1.83Mb to 1.68Mb. Hamna kitu hapa bila bila
Mkuu file likiwa dogo sana ukicompress linaongezeka sababu ya kuhifadhi metadata. Jaribu file kubwa kidogo ulete mrejesho tena. Chukua kitu kama 100Mb hivi.
 
mzee hapo hamna kitu mambo niyaleyale. Nimechukua file nimelidrag n drrop. Linachukua mwaka mzima hamna kitu bila bila
Tatizo litakuwa speed ya connection uliyonayo. kama ni hizi network za bongo achana na hii option maana ni next to impossible.
 
Mkuu kwa sasa quality sio issue sana. Kama una prgrm unayoijua nipe nicheze nayo. Quality sio dili sana kwangu.
Kwabhiyo una PDF moja yenye size ya 1800MB? Sijawahi kuona ni pdf ya kitu gani hiyo?
 
Back
Top Bottom