MotherBoard ya Dell Latitude

MotherBoard ya Dell Latitude

juan moses

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
2,403
Reaction score
2,485
Habari wakuu.
PC yangu imekufa Motherbody.
Hivyo nnatafuta,kwa yeyote anayeuza ama anajua inapatikanaje naomba anitaarifu.
Msaada tafadhali.
 

Attachments

  • 1436535441379.jpg
    1436535441379.jpg
    42.2 KB · Views: 113
  • 1436535477443.jpg
    1436535477443.jpg
    48.1 KB · Views: 107
  • 1436535516263.jpg
    1436535516263.jpg
    62.3 KB · Views: 102
Hata mimi nahitaji dell latitude d630. Unauza shilingi ngapi na uko wapi? Je, una screen pia ya laptop hii hii>?
 
Back
Top Bottom