Be specific. Una haki ya kupata local channels kwa free. Bila hata kulipia .... Why unapata TBC1 tu..?
Ulitakiwa upate channels nyingine kama EATV,CHANNEL 10,ITV, toa maelezo ili upate msaada wa kina.
Kama hazipo ktk list... Hakikisha una signal nzuri. Then restore king'amuzi.. Kikiwaka kitafanya auto search. Then utaendelea...kufurahia hizo channel hapo juu buree.
Kama unahisi hakuna soln hapa. Toa maelezo zaidi nione nakusaidiaje