Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

naomba msaada.mimi smu yangu aina ya samsung note 3 inaonyesha 16GB kwny file manager ila ukiweka mafaili ya nyimbo ya 1GB inadai imejaa.sijui ni kwa nini na pia sehemu iliyobaki yaani 15GB...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi JF members Msaada wa program ya kuludisha data nilizofuta kwenye recycle bin au usb flash drive maana ni muhimu sana kwangu Nilihifadh data kwenye laptop mwanzo then nikaamishia kwenye flash ...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau naomba msaada nashindwa kuweka finger print natumia s5 sasa sijui tatizo nini na nafanya zilee step zote pqle kwenye ku register ndo inakataaa
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii inawezekana?? mafundi wa incubators msaada. kuna friji iliharibika. I heard inawezekana kuiconvert kua incubator ya kutotoleshea vifaranga. Mwenye ujuzi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina kajilaptop kangu flani hivi, kana muda mrefu tu tangu kaharibike ila hard drive yake bado ipo poa. Nataka kuichukua hiyo hard drive ili kuongeza kwenye desktop yangu. Ninahitaji kuwa na IDE...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wana jamvi, nimenunua laptop mpya dell inspiron 15 3000series, waliniwekea windows 7 lakini haikua haina drivers za sauti amoja na wireless, nimebadilisha OS nkaweka windows 8 tatizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Y4
Msaada tafadhali kila nikidownload application kwa mfano;whatsapp;viber;instagram znakubali tatizo ni ku-confirm or to launch! Mara itakuandikia unknown error mara check your internet connection...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Ninapenda java, kwa anayeweza ku-build jf app kwa java enabled phones aje hapa tutete, au kama kuna uwezekano wa kunipa shule itakuwa poa pia. Ahsamnte.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nashindwa jinsi ya kuunganisha Enternet kwenye computer kwa kutumia sim naomba msaada wenu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habarin wakuu, kuna simu hapa htc android version 2.2.1 nimeletewa niweke whatsapp kila nikidownload playstore naambiwa hii version haipo supported lakini mwanzo kulikuwa na whatsapp kabla haja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nataka kwenda pale iStore (Mlimani City) niagizie hii simu kutoka U.S.A ikiwa Unlocked nauliza kwa wazoefu itanigharimu kiasi gani mpaka mzigo wangu ufike Dar es Salaam? Naomba kuwasilisha!
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Mwanzo tuliona app kama tigo pesa wadau wakaizungumziaaa maswala ya security nk. Hebu tuiangalie na Nmb app kwa walio itumia mnaizungumziaje ukizingatia ni ishu nyeti maswala ya pesa haya.
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari wakuu, Nina wazo la biashara ambapo nahitaji mtu wa IT wa kushirikiana nae kama mdau mwenza, mwenye kuweza ku "devolop programs na kutengeneza Android application" Kwa yeyote ambayo yupo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii kitu inawezekana lakini acha nifanye research zaidi kwa worldwide lakini kwa Tanzania ni uhakika naomba kwa walio nje ya Tanzania watupie namba na jina la nchi waliko kisha mm nitawatumia sms...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Wanajamvi naomba kufahamishwa jinsi ya kununua software za android. Maana nimechoka kurumia free software kwa sababu zina ads sana.
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Mwenye ujuzi msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
je inawezekana pia website nikaweka iyo adsence au ni blog tu
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Wakuu naomba msaada mafaili yangu yote yamefutika kwenye window 7 vista, hata programme kama vile word excel inaniambia nikanunue, Je nawezaje ku restore hizo programme? Maana zilikuwepo kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba activation key au product za MS Office Professional 2010.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa hapo kinavyojieleza, naomba msaada wa kipi cha kufanya maana laptop yangu tajwa hapo inagoma ku-start inanipa maneno yafuatayo.."No bootable devices--strike F1 to retry boot, F2...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…