no nm
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 212
- 32
Baada ya WhatsApp kununuliwa na Facebook waliamua kufanya mabadiliko mbalimbali yakihusisha kuzuia apps za aina hizi ambazo si rasmi zishindwe kufanya kazi. Moja ya hatua waliyoweza kuifanya miezi michache iliyopita ni pamoja na kuwazuia watu wanaotumia apps zisizorasmi kupata huduma za WhatsApp kwa zaidi ya masaa 24. Muda umeenda na watengenezaji wa toleo la WhatsApp Plus wameweza kutengeneza toleo linaloshinda zuio hilo la masaa 24, na pia katika toleo hili hata uwezo wa kupiga simu za WhatsApp unapatikana kama kawaida.
Sifa za Whatsapp Plus Reborn v1.80
Badilisha muonekano wa WhatsApp (theme),
rangi yake na ata fonts.
Tuma mafaili kwa ukubwa wowote hadi kufikia MB 50
Ficha habari zako za kupatikana Online na Last Seen
Tuma picha kwenye ubora mkubwa (Quality)
Kushusha APK ya WhatsApp Plus Anti- Ban (MB 24) bofya
HAPAA...! & enjoy ,..!