shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
Kama umedownload application yako nje ya play store na ukataka ku install kwenye android phone fuata utaratibu ufuatao.
1. iweke application yako kwenye route directory (naamisha usiweke ndani ya folder) kama sdcard yako inaitwa shalet basi copy na kupsate kwenye shalet na sio ndani ya folder.
2. nenda kwenye setting>>application then check un-known source.
3. chukua jina la apllication yako
4. open browser unayotumia kwenye simu isipokuwa chrome inazingua.
5. pale sehemu ya kuandika url andika "file://sdcard/jina_la_app.apk" then enter
6. hapo itafanya installation moja kwa moja.
kama kuna mtu ana njia rahis nyingine tunaweza share.