Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Kwanza kabisa ,Laptop yang, imebadilika ghafla,, kwanza niki double click ku open file file linafunguka as nime click properties mfano niki click my compyuta inaniletea properties zake, mafail mengine yanafunguka as property hvyo hvyo yaan hata Vlc,wm. Pili right click inasumbua some tym hai respond, tatu keybord haifany kaz, hiz batan niki click mfano kuandika haziandik heruf nilio click zinakwenda kwingine kabisa, nne laptop hii nilikuwa nikiiwasha nicpotumia kama dak 10 ilikuwa ina sleep nikija ku click batan inawaka lakin sasa hv hai sleep yan inawaka muda wote bila kuzima labda nizime kabisa kwa power. Pls mwenye utaalam anijuze inaweza kuwa virus? Window ina shida? Au laptop yenyewe niki maanisha vifaa vyake yaan hard ware zake? Nisaidien tafadhal, ahsanten.