Nimetafuta hii kitu lakini..............

Nimetafuta hii kitu lakini..............

habari wanajf naombeni software za free za kuhack fb password na whatsapp account
Software nyingi mtandaoni ni spammers tu. Lakini kuna apps zinazoweza kuaccess data za mtu kwenye simu na kukutumia kwenye e-mail yako (vitumwavyo zinaweza kuwa logs za phone calls, messages, whatsapp messages, na MMS atakazotumiwa mtu. Kwa hiyo unaweza kumpata mtu atakayeweza kukupa msaada (kwa kuhack na kupata access kwenye account ya facebook ya mlengwa ) na maelekezo zaidi (kukupa mwongozo wa kuinstall apps zitakazo kusaidia kujua kinachoendelea kwenye simu ya mlengwa.

KUMBUKA: Jitahidi uwe na moyo mvumilivu wa kukubaliana na utakayoweza kuyakuta baada ya kuhack account.
 
ukimaliza ukahack na nyumban kwao uweke camera chumban na chooni kwao
 
Back
Top Bottom