Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,385
Nina pc ya ACER ASPIRE E51-511-C6G7 nimepiga windows chini kama mara 3... Mwanzo ilikua ni 64 bit ila baada ya kuipiga windows mara ya 3 ikawa 32 bit...Changes zikabadilika kwenye baadhi ya programme kwa mfano VLC haionyeshi in a HD manner na sauti inakwaruzakwaruza... Pia Internet haiwezi kuingia japokuwa nimeconnect kwenye active Wi-Fi network au modem yenye bundle la kutosha... Mwenye ujuzi na masuala ya drivers anipe mwongozo ili nijue namna ya kufanya ili niweze kuifurahia laptop yangu.. Natanguliza shukrani zangu kwenu....