Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Magari yanayojiendesha (self-driving cars) ni magari yanayotumia teknolojia za hali ya juu kama vile akili bandia (AI), sensa, na urambazaji wa GPS ili kujiongoza bila hitaji la dereva. Haya ni...
0 Reactions
2 Replies
502 Views
Wakuu nisaidieni nilikua natumia nearby share kuhamisha mafile Sasa nilivyo update system simu ghafla Nika kukutana na quickshare. Sasa hapa ndipo tatizo lilipoanza Nikwamba speed yake ni ndogo...
0 Reactions
6 Replies
455 Views
Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)
1 Reactions
12 Replies
1K Views
WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once). Ni maendeleo mazuri ya...
5 Reactions
8 Replies
771 Views
Natumai ujumbe huu unakukuta salama. Nia na madhumuni ya kuweka bandiko hili ni kutafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D 3D Artists kama modelling, animation, CGI VFX etc. Lengo ni ku organize ili...
1 Reactions
3 Replies
318 Views
Habari? Nipo Dar nahitaji line ya safaricom niitumie kuconnect na paypal. Kwa ambae anauza naomba tuwasiliane WhatsApp +255759702766 Call: +255769931891
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu nina PC hapa ya muda sana yaan GEN1 series ya Hp chromebook!! Inatumia os ya chrome. Hivi ukitaka iwe na window inawezkana? Maana mimi sielewi ilivyo ilivyo!
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari, Natoa Training ya Python for data analysis. Modules to be discussed 1.Pandas 2.Numpy 3 Matplotlib 4.Seaborn Tutatumia dataset kutoka sources mbalimbali...
1 Reactions
0 Replies
369 Views
Msaada wenu wakuu,Tv yangu aina ya Hisense smart (VIDAA) NCH 43 imechora hii mistari miwili miyeupe. Tatizo linaweza kuwa ni nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Leo sina maneno mengi. Katika pitapita zangu nimekutana na concept moja inaitwa "How to fail successfully". Kwamba kufeli ni lazima, inategemea tu unaichukuaje, na unaishije...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Jinsi ya kusahihisha kifaa chako kwenda IOS 18 dev beta. Tahadhari toleo hili ni majaribio linawez lisifanye kazi kwa ufanisi
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Kioo na battery kwa ajiri ya Sony hio kwenye picha vinahitajika. Mwenye navyo aniambie
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Hiki kifurushi kinakupa 30 GB kwa 1,000 bila kikoma kwa siku 3 mfululizo, kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijajua ni bila kikomo kudownload au ku browse tu.
0 Reactions
33 Replies
7K Views
NImejaribu na NMB debit card lakini napata "Your card’s issuer declined this request. Contact your bank or use a different payment method. Learn more [OR-CCSEH-26]". Nimeenda bank wananiambia...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu habari, ninapoishi umeme upo vizuri tu sema unakatika baadhi ya muda kwahiyo nahitaji backup system lkn sitaki kuingia gharama ya kununua solar panel nataka ninunue battery za solar, charge...
9 Reactions
59 Replies
6K Views
Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
5 Reactions
86 Replies
5K Views
kwa wataalam wa technology humu JF, naombeni msaada wenu hapo, nina simu tajwa hapo juu imenishinda kuitumia kabisa. Nimejaribu kui-restore nimeshindwa maana ukienda kwenye app ya setting hakuna...
1 Reactions
5 Replies
870 Views
Nilikuwa naweza kutuma msg kutoka mitandao mingine ay yahoo, facebook , X etc kwenda kwenye yahoo mail yangu KUPITIA GOOGLE E-MAIL YANGU. eg nikitaka kutuma msg toka whatsapp nina highlight...
2 Reactions
5 Replies
431 Views
Back
Top Bottom