Matumizi ya Chromebook PC

Inategemea inabidi ugoogle model ya hiyo Chromebook kama inaweza kuinstall windows, mara nyingis io kazi rahisi na kama ni ya zamani kweli hardware yake itakuwa haina nguvu ya kurun Windows na performance inayoeleweka.
 
Wakuu nina PC hapa ya muda sana yaan GEN1 series ya Hp chromebook!! Inatumia os ya chrome.

Hivi ukitaka iwe na window inawezkana? Maana mimi sielewi ilivyo ilivyo!
Kama ulivyoambiwa huko juu ni model gani? Bila mtu kujua hio model huwezi pata msaada wa uhakika.
 
Chromebook ni computer zinazotumia ChromeOS ya Google hii ni operating system ambayo kwa kiasi kikubwa ni kama vile unatumia Chrome browser unaweza pia kuinstall baadhi ya Apps na kuna ambazo zinasupport Play Store na Apps za Android. Hizussuport program kamili za Windows.

Uzuri wake ni cheap, nyepesi na zinakaa muda mrefu sana na charge kwa vile hazina nguvu.

Ubaya wake ndo hivyo limited app support, kama hauko connected mtandaoni ni almost useless.
 
Niliwahi nunua mwaka 2019 kwa mategemeo kuwa nitaweza kubadili OS na nitumie window, aisee wacha kabisa nilichoma MB kwa ajili ya tutorial youtube ila holaaa.

Nilishukuru baada ya muuzaji kukubali kuibadili na nikapewa dell la sivyo nilikuwa nimekwenda
 
Hapo ndi nimeelewa sasa maan yake hizi ni kama simu tu, aseee sasa hizi laptop ni kwa sababu ya nn sasa wazungu nao
 
Kumbe hiz ngoma ni bure kabsaa😂😂😂😂😂 dah bora nirekebishe Dell yangu mkanda na kioo
 
Binafsi niliona nimevamia mtumbwi wa vibwengo, huenda kuna watu wa aina fulani google iliwakusudia watumie
Nadhan ni wale wa kutumia simu kwenye PC asee
Kuna mahali nimeona jamaa anaelekez jins ya kupiga windo mmh asee kaifungua na pc yenyew sijui katoa seanor ya chrome os weee hiyo nan bongo awez labd
 
Angalia namna ya kuirudisha au kubadilisha kama umenunua sehemu, hakuna umuhimu wa kupata tabu ili ukiite mtaalamu
 
Hapo ndi nimeelewa sasa maan yake hizi ni kama simu tu, aseee sasa hizi laptop ni kwa sababu ya nn sasa wazungu nao
Ukweli ni kwamba 90% ya kutumia komputer siku hizi ni kufungua browser na kutumia website/web app tofauti so ndo lengo kubwa la hizi machine, kwa bongo kwa vile hatuna wifi kila sehemu tunayokwenda inakuwa ni shida zaidi. Chromebook pia zimekamata soko la mashuleni nchi za wenzetu, shule nyingi zinatoa Chromebook "bure" kwa wanafunzi.
 
Sio internet tu kila mahala kuna kazi mingi za kufanya na pc nje ya mtandao me nao a hii haiwez bongo kazi muhimu ni mingi labd wazipeleka mashuleni tu.. Huku unataka kutumia adobe, ms office uweke movies bado mambo kibao sidhan kama zina umudu hizi.. Mm nimeona zenyew ni kuunganisha email bas tu
 
Back
Top Bottom