mkuu ninatumia ttcl kwnye data
nikiwa mjini napata 4g nzuri tu equivalent ya 40-25mbps download
ila nikishatoka mjini mtandao unasoma Roam( h+)
sasa nijuavyo hyo roam ina maana mtandao mmoja unatumia mtandao mwingine kupata access ya data pale wenyewe unaposhindwa
swali langu ni kwamba hyo roam haiwez kuwa 4g ??
maana hapa nilipo tigo, voda, halotel, airtel napata 4g+ , speed mpaka 60mbps download kwa mitandao yote hyo niliyotaja
lakini hii ttcl inaishia tu roam ya h+
Ama roaming huwa inaishia 3g tu haiwezi vuka mpaka 4g??
location Niko moshi sowote
device nayotumia, ni Samsung note 9.