Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini...
4 Reactions
1 Replies
794 Views
Mods tafadhalini msiunge na nyuzi zingine, hili ni toleo la online version Hapo zamani tulizoea kucheza wawili kwa screen kugawanywa lakini kwa mapinduzi ya teknolojia tunaweza kushindana...
2 Reactions
5 Replies
565 Views
hivi vitu kidogo vimekuwa vinanichanganya katika operate yake tcp ina intaract vip na w.w.w.? na watu wanasema w.w.w. haiwez kufanya kazi bila http hii http ina uhusiana vipi na hapa...
4 Reactions
16 Replies
885 Views
Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung. Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone. Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara...
3 Reactions
66 Replies
13K Views
Mota ya mashine ya alizeti inasumbua sasa nataka kuibadilisha nichukue ya mashine ambayo motor yake ina speed na mashine ya alizeti haiitaji speed.Nimeambiwa ninaweza kuitumia hiyo mota ya hiyo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Salamu. Simu zote ni nzuri ila najua kuna mahala zinazidiana ubora na gharama.Kwa ujuzi wako kati ya hizo kampuni nani bora sana?
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Nchi ya China imeendelea kuwekeza katika huduma za afya, hospitali kubwa zaidi ya Artificial intelligence ambayo inaweza kuhudumia wagonjwa 3000 Kwa siku, ambayo kwa kawaida Madaktari wanaweza...
0 Reactions
4 Replies
440 Views
Naitajia maelezo nielewe umihimu wa ku update Android software na Hasara usipo update android
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Error. The account verification SMS could not be sent. Please try again later. Naomba msaada kwenye hili wana JF. Kila nikijaribu kufanya verification ya account yangu ya Instagram ili nipate...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Habar za asubuh wana jf...! Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, ndugu yenu natumia simu ya samsung A04 Hivi juzi nili restore sababu simu ilikuwa nzito sana hivyo nikaamua kufuta vitu vyote...
0 Reactions
2 Replies
428 Views
Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika. Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna hizi windows za kudownload kutoka mitandaoni hususan kwenye torrents huwa zimekuwa cracked, pre activated na nyingine zipo modded Ndizo windows ambazo wengi hutumia hapa bongo sababu kuu ni...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Guyz vp…?? Nashida kidogo.. inshort ndo naanza kujifunga Adobe character animate ila kunakitu kinanishangaza kwamba siioni sehemu ya motion library
0 Reactions
3 Replies
472 Views
Kuna mteja alikuja kibandani kwangu akihitaji kutoa hela yake iliyokuwa imetumwa kwa njia ya sms kwenye simcard yake ya Vodacom, mimi kama wakala wa M-Pesa nikawa nimepata ugumu namna ya kumtolea...
3 Reactions
18 Replies
11K Views
Habari wanajamvi. Ni mimi tena. Leo tutaongelea mambo manne makuu ambayo yatatokea katika ukuaji na utumiaji wa AI (Akili bunifu/bandia/mnemba) nchini Tanzania. Kama unajiuliza kuwa akili mnemba...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nini maana ya AI? Ni akili ya mashine au program kinyume na akili ya binadamu au wanyama. Kukua kwa sayansi na technology kimewezesha uvumbuzi wa vitu vingi sana. Fikiria mtu anavyo zaliwa maana...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Elon Musk anasema akili ya bandia itachukua kazi zetu zote na hilo sio jambo baya. "Labda hakuna hata mmoja wetu atakayekuwa na kazi," Musk alisema kuhusu AI kwenye mkutano wa teknolojia mnamo...
4 Reactions
3 Replies
864 Views
Heloo hii project ni very simple na niliiunda kipindi najifunza PHP, ni system ambayo itatake user notes na kusave kwenye database, na kuzishow kwa user ina admin panel pia ina user information...
4 Reactions
7 Replies
831 Views
- 🏆 ChatGPT - IOS ➜ - Android ➜ - ⚡ Socratic AI - IOS ➜ - 💼 Perplexity AI - IOS ➜ - Android ➜ - 🌐 Fireflier.ai - IOS ➜ - Android ➜ - 🖼️ Canva - IOS ➜ - Android ➜ - 💡...
2 Reactions
5 Replies
720 Views
Back
Top Bottom