EWE MWALIMU USIIOGOPE MIFUMO BALI JIFUNZE KUITUMIA
Mwishoni Kuna link ya channel follow hiyo channel Kwa Mafunzo zaidi.
MAFUNZO MAFUPI YA MFUMO WA EMPLOYEE SELF SERVICE NA MODULI YA UPIMAJI KWA...
Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung.
Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani.
Kuna jamaa angu...
Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to...
kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji...
Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya.
Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua...
From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya...
Habari wakuu,
Naomba msaada jinsi gani naweza tengeneza website / blog ambayo itaweza kuonekana kwenye search engine ya Google
Ambaye anafahamu nipitie site ipi ili kutengeneza hiyo website /...
https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19
Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung...
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti.
Tuambie na namna ya kuzipata.
Mfano:
Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
Hello bosses, hv karibuni nimeanza kutumia AirTM kupokea malipo mbalimbali kutoka nje ya Tanzania sababu niliona wanasupport withdraw methods nyingi za Kitanzania ikiwemo banks na mitandao ya...
Wakuu kotokana na kuishi Kwangu mtaani hapa nikiwa na solve matatizo madogomadogo ya husuyo simu na umeme sasa jana nimepita sehemu ni mepewa hili nimejitahidi kulikimbia Kwa kua vifaa muhimu Mimi...
Internal Divide Space Sound Material Soundproof Folding Removable Divider Wall for Classroom
AcousticPartitionWall was founded in 2011, located in Guangdong Province, China, specializing in the...
Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex)
Laini...
Kuna mtu alisema ukitaka kutatua tatizo kubali kwanza kwamba lipoo
Na hili ni tatizo tayar lipo
Nije na ushahidi kwamba mfano huko nchi kama marekani watu hawa somi hii taaluma ili kuajiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.