Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu Wakuu!!! Mwezi huu natoa Call Of Duty 3 Modern Warfare, ina 13GB. Kiukweli sina maneno mengi ya kuielezea hii Game ila ingia 'Google' na Search 'Call of Duty 3 Modern Warfare kisha...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau nahitaji muongozo wenu ..ivi Kati ya computer engineering na electric engineering ipi ni course nzur kwa Tanzania
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nahitaji kununua receiver zenye nguvu ya mpeg 4 je zinapatikana kwa bei gani?
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, Jumamosi EPL inaanza kutimua vumbi, DSTV hawashikiki tena kwa bei hizo mpya, kama kuna mtu amepata maujanja ya jinsi tunavyoweza angalia mechi tafadhali tujulishane, Thanks
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau simu yangu ina tatizo la kuzma zima kila wakati hasa nikiwa internet. Je chanzo na suluhisho ni nini?
0 Reactions
2 Replies
930 Views
kuna ndugu yangu nimemuazima laptop yangu, masaa kadhaa yaliyopita.... bt nilipoiwasha mm imeleta shidah hii... nikiwasha anaandika ''prepare to configure windows.. do not turn off your...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi salam,ninayo LG FLAT SCREEN HDTV 24' inch ambayo ina sehem ya USB port ambapo nimejaribisha kuweka aina tofauti za flash lakini haiwez kusoma je,tatizo nini msaada tafafhali
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ina internal memory ya 16GB na mengine mengi pia bei laki 3 tu haina tatizo lolote lile Tutafutane kupitia 0753384077
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba hii album mwenye link anisaidie niipakue bure. Shukran
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimeupdate whatsApp Kwenye nokia 206 baada ya hapo application zote hazifunguki ikiwepo calckuleta etc naombeni msaada wadau cc CHIEF MKWAWA
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salama wanajukwaa, Naomba mwenye uhafamu na hili, nimeinstall Application ya Kodi kwenye computer na inafanya kazi vizuri, naweza kuangalia TV channels kadhaa ikiwepo aljazeera na BBC, je kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba ushauri kwa wataalamu wa TV. Nina Sony Flat Screen ya miaka 4 hv. Imepata tatizo, ikiwashwa inafanya kazi kwa dak kama 10 halafu inajizima na ku-restart, lakini haiendelei kufikua kupata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu habari za leo? Naomba kujua ukweli kuhusu samaki: 1.Asili ya samaki hutoka wapii? kuna mtu yupo Bukoba anadai mvua zikinyesha ktk sehem kavu na baadae maji kutuama eti samaki huanza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nataka kusoma windows server 2012. naomba kitabu kizur cha kusoma pamoja na practical zake. Pia nauliza kuna simulation yeyote ya kutumia kama sehemu ya practical? kama ipo naomba nijue namna ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, Naomba kujua ni simu gani iliyo bora kati ya Samsung Galaxy Note na HuaweiP7? Naomba msaada wenu kwa anayeelewa maana najua kuwa JF kuna watu wenye uelewa wa kila aina..
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Natamani sana kuangalia movie za Philipino zilizokuwa zime/narushwa na Star TV nikiwa mapumziko. Sasa naomba free site na namna ya kuzi download ili nizopate. Nawaombeni sana mnisaidie namna ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu,tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu!! Pia ningependa kujua bei yake dukani(Original) ni kiasi gani? Ahsanteni!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi?..Naombeni msaada juu ya kupata application ya jamiiforum kwenye simu yangu ya blackberry z10 maana nakosa raha yapata miezi miwili sasa kila nashindwa kupata hii application...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Ningependa kujua kuwa Spriter (kifaa kinachotumika kusambaza mawimbi ya satelite dish katika receiver zaidi ya moja) na DsqE switch (kifb kinacho unganisha lnb zaidi ya moja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…