Habari zenu Wakuu!!!
Mwezi huu natoa Call Of Duty 3 Modern Warfare, ina 13GB. Kiukweli sina maneno mengi ya kuielezea hii Game ila ingia 'Google' na Search 'Call of Duty 3 Modern Warfare kisha uone picha zake, mimi hapa nitaweka baadhi tuu ili watu wasioijua walau wapate mwanga.
Kama uko busy sana na kusoma na unajijua bado hujaanza kucheza Game kali na nzuri nzuri kama hizi basi ni vema ukamaliza kusoma au kujiandaa na mitihani kisha ndo ukaanza kucheza Game kama hizi ila kwa wale ambao washacheza Game za PS basi Game kama hizi wanaweza ziona za kawaida.
Unaweza nifate PM na nikakupa namba zangu, ukishanipigia na kunielekeza ukiona ni kimya sijakutafuta basi usione shida kunikumbusha maana nina majukumu mengi sana ambayo yananifanya nisahau mambo ya hapa na pale karibuni sana Wakuu!!!

NAPATIKANA MBAGALA WAKUU!!!