wakuu poleni na ujenzi waTaifa.
naomba kujuzwa ni application gani nzuri ni itumie niweze kuenjoy jamiiforum mbali na Taptalk na JF app Asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]
An almost fully-formed human brain has been grown in a lab for the first time, claim scientists from Ohio State University. The team behind the feat hope the brain could transform our...
me nko kgm lkn nlinunua modem hyo dar ili insaidie katka masuala mtandao wa internet. nlipofka nlijaribu kukonect na komputa lkn ilishindwa kufanya kz. baadaye nlienda nayo mjini nkajarbu...
naomba msaada wandugu.
kuanzia juzi tumekua hatuwezi kupata emails wala kutuma kupitia domain yetu.
tunapokea ujumne huu. [both on outlook and webmail]
je tumeingiliwa? tunawezaje kuondoa tatizo...
Swali kwenu wajuzi,
Satellite ikisha pandishwa angani je Umeme inapata wapi??Je kama inatumia solar power je batter zake zinadumu kwa muda gani??Kamatujuavyo kazi za satellite ni electronics je...
Sim yangu imekata mawasiliano gafla bila ya tatizo lolote, kila nikiiwasha iwaka ila inaporudisha mtandao inajizima na kuandika hivi "seh reset frequency violated" inaweza kukaa hivyo kutwa nzima...
Wakuu heshima zenu, nimepatwa na tatizo la kiufundi wakati wa kufanya installation ya Adobe photoshop CS5, kwa ufupi installation imemaliza tatizo ni kuifanya isiwe trial ndio imenishinda, kila...
Kwa wale wanaopenda kufatilia vitu visivyowahusu hii ni habari njema kwenu kwa kutumia camera za endoscope
mtaweza kupiga chabo na kuchunguza chumba/bafu kinachoendelea hata kama milango...
From Engadget.com
"Google's program to bring cheap Android devices to developing lands has arrived in Africa with the launch of Infinix's HOT 2. The device is available today in six different...
nikidownload kwenye smartphone media file kwa size yoyote hata HDD halikubali kusoma kwenye devices nyingne labda computer. mf nikidownload mzik kwnye sim kupitia tubemate nikauhamishia kwenye...
nikidownload kwenye smartphone media file kwa size yoyote hata HDD halikubali kusoma kwenye devices nyingne labda computer. mf nikidownload mzik kwnye sim kupitia tubemate nikauhamishia kwenye...
Moderator naomba, hii post uiache katika jukwaa hili kutokana na watu wanaotembelea jukwaa hili na mahusiano zaidi na ambacho nahitaji.
kufanya kazi pasipo malipo (najitolea kufanya ), ( mtu au...
habari za muda huu ndg zngu. Nmefanikiwa kufulifungua 'compressed' file ambalo lilikua zipped ila tatizo linakuja kufungua mafaili yaliyo ndani yake ysnahitaj "keys" je nifanyaje ili kuzipata keys...
habari za asubuhi wakuu...hili liwebsite la TCU mbona halifunguki ukizingatia applications zote ni online
http://www.tcu.go.tz/ wakuu kama kuna unachawi mwingine unatumika kufungua hii website...