KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Swali kwenu wajuzi,
Satellite ikisha pandishwa angani je Umeme inapata wapi??Je kama inatumia solar power je batter zake zinadumu kwa muda gani??Kamatujuavyo kazi za satellite ni electronics je hufanyiwa service??au ikichakaa wanaiacha?
Nawasilisha.