Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,107
- 38,733
Sim yangu imekata mawasiliano gafla bila ya tatizo lolote, kila nikiiwasha iwaka ila inaporudisha mtandao inajizima na kuandika hivi "seh reset frequency violated" inaweza kukaa hivyo kutwa nzima, ukibonyeza kati inawaka tena lakini haipokei mawasiliano ya mtandao usika bali inajizima na kuandika hivyo kwenye scene, naombeni namna ya kuitengeneza irudi haliyake maana naipenda mno nayo ni blackberrye 9320.samahani nyingi wadau.