MSAADA WATAALAMU KWA MODEM AINA YA HSPDA 7.2 Mb/s

MSAADA WATAALAMU KWA MODEM AINA YA HSPDA 7.2 Mb/s

STERLING2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
239
Reaction score
75
me nko kgm lkn nlinunua modem hyo dar ili insaidie katka masuala mtandao wa internet. nlipofka nlijaribu kukonect na komputa lkn ilishindwa kufanya kz. baadaye nlienda nayo mjini nkajarbu kuunganisha ikakubali. hivyo nkagundua kua inashikatandao wa 3g pekee cha ajabu na cha kusikitisha ni kuwa speed yake ni ndogo sana tofauti na walivyoonesha kwenye maelekezo yao. je nfanyeje ili niweze kuitumia modem hii kwa speed kubwa na mahali poppte hata kwenye mtandao wa 2g. wataalam nsaidien tafadhal mwenzen ili niweze kuifaidi modem hii kwan kuirudisha siwez
 
Nakumbuka nilikua na aina hiyo ya modem. Moja nilinunua tsh 30000(ilikua inamatatizo kama iliyonayo hiyo yako) na ingine duka tofauti nilinunua tsh 60000(ilikua ipo vizuri sana kwa speed na niliifurahia sana) haikua matatizo yoyote kama mtandao upo fresh.
 
me nko kgm lkn nlinunua modem hyo dar ili insaidie katka masuala mtandao wa internet. nlipofka nlijaribu kukonect na komputa lkn ilishindwa kufanya kz. baadaye nlienda nayo mjini nkajarbu kuunganisha ikakubali. hivyo nkagundua kua inashikatandao wa 3g pekee cha ajabu na cha kusikitisha ni kuwa speed yake ni ndogo sana tofauti na walivyoonesha kwenye maelekezo yao. je nfanyeje ili niweze kuitumia modem hii kwa speed kubwa na mahali poppte hata kwenye mtandao wa 2g. wataalam nsaidien tafadhal mwenzen ili niweze kuifaidi modem hii kwan kuirudisha siwez

Tatizo hili sio wewe peke yako:
ukweli ni kuwa makampuni ya simu yamefunga 3G towers mijini katikati (city centres).nje ya miji wamefunga 2 G tu.
Uwezi kukuta Tower ya 3G imefungwa vijijini.Hivyo sahau HSPDA 7.2MB/s hapo ulipo na Kwingineko.Sijajua kama TCRA inaweza tusaidia sisi wanyonge ktk hili.Huku nilipo 100MB attachment inachukua masaa.
 
nakubaliana na ww Chipukizi. kinachonishangaza ni kuwa hata mjini kwenye 3g nashangaa speed ni ndogo sana. hakuna maujanja yyte ya ku unlock labda au kubadili firmware
 
2g speed mwisho around 250Kbps ambayo ni kama 30KBPs tu. Hata uwe na modem yenye speed kiasi gani kama mtandao ni 2g then hutaipata hio speed.

Cha muhimu nenda option then kwenye network fanya manual search unapata mitandao gani? Hata kama result itakuja manamba namba niandikie hapa
 
chief mkwawa hii modem kwenye area ya 2g aikonekr kabsa. msaada wako ni muhim sana
 
chief mkwawa hii modem kwenye area ya 2g aikonekr kabsa. msaada wako ni muhim sana

Tafuta neno option/tools kwenye software ya modem then nenda network halafu kwenye network mode chagua gsm au edge au gprs hio ndio 2g. Ikiwa umts/wcdma/hspa hio ni 3g.
 
hii modem ina sehem iliyoandikwa file ambayo ndo inaleta network option najaribu kuweka edge priority lkn inagoma kurespond. Msaada tafadhal wataalam
 
The same modem here ila tatizo inachemka sana na inaji disconnect after 5-10 minutes, any help plz
 
Back
Top Bottom