next
JF-Expert Member
- Nov 2, 2007
- 604
- 185
naomba msaada wandugu.
kuanzia juzi tumekua hatuwezi kupata emails wala kutuma kupitia domain yetu.
tunapokea ujumne huu. [both on outlook and webmail]
je tumeingiliwa? tunawezaje kuondoa tatizo hili.
IT aliyetutengenezea hii domain yupo India kwa sasa, mawasiliani ni shida