wakuu poleni na ujenzi waTaifa.
naomba kujuzwa ni application gani nzuri ni itumie niweze kuenjoy jamiiforum mbali na Taptalk na JF app Asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kwani app hizo hu enjoy? Kama kuna kitu kinakukera si bora utoe maoni yako playstore au website ya tapatalk kuliko watu waanze upya na app nyengine?
wakuu poleni na ujenzi waTaifa.
naomba kujuzwa ni application gani nzuri ni itumie niweze kuenjoy jamiiforum mbali na Taptalk na JF app Asante[emoji120] [emoji120] [emoji120]
ndio nafahamu ila mimi sijapenda ufanyajoli kazi wake😛out:
ok asante kwa ushauri . je kuna app nyingne unaifahamu na sija itaja hapo unijulishe