KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
Nina PC yangu Dell ina window 7 kila wakati inakua inazima wakati nafanya kazi, kwa anaefahamu tatizo linaweza kuwa nini, msaada please.
Nina PC yangu Dell ina window 7 kila wakati inakua inazima wakati nafanya kazi, kwa anaefahamu tatizo linaweza kuwa nini, msaada please.
Ikizima inasemaje?
Search kwenye computer for "power option",ukifika huko chagua "choose when to turn off the display",angalia hapo pamejazwa dakika ngapi katika "turn off the display" na "put the computer to sleep".Hakikisha kilichowekwa kisiwe dakika chache make sure walau ni one hour au zaidi.
Fanya ukifanikiwa tujulishe na hata usipofanikiwa let me know nikupe alternative nyingine.
Mwangu angalia kama feni inafanya kazi maana unaweza kukuta feni yako aifanyi kazi master try to look that