Inside Google's brain: Search giant reveals how massive network that delivers every search request, YouTube video view and Gmail works
Technical presentation reveals search giant now runs over...
ninaparcel yangu nimenunua kutoka german lakn
nimeshindwa kusafirisha kwa dhl man
wamesema hawaruhusu kusafirisha parcel zenye
betre wanahofia madhar kweny ndege mizigo
yangu ipo tu sijajua...
Habarini wadau poleni na majukumu Naombeni msaada kama kuna fundi yoyote ambaye ana kioo na simu aina ya nokia Lumia 820 pamoja na housing yake ya nyuma ambayo inafunika betri ajitokeze hapa kwa...
PaidVerts pays someone to interact with marketers!
Paid for ads will probably be sent to your account daily. Just about all you have to do is replicate 3 outlines associated with textual content...
Habari wadau.
Najua wengi mnatumia sana hii mitandao ya kijamii na facebook ukiwa mmoja wapo.
Ninachotaka tujuzane ni kuhusu jambo ili hapa.
Ukiwa ni mtumiaji wa muda mrefu au kipindi flani hivi...
Wakuu, hapo awali nilikuwa natumia receiver yangu ya strong kwa bahati mbaya ikapigwa na radi ikawa haikamati signal kutoka kwenye lnb na power yake inayotoka kwenye port ya lnb in ni ndogo sana...
Habari wana JF.
Ndoto zangu ni kumiliki Garage.
Ningependa kujua yafuatayo
1.Gharama za kuanzisha Garage.
2.Sehemu nzuri kwa shughuli hii inapaswa iweje?
3.Usimamizi wa Garage upo vipi? maana...
Natumia samsung glx note 1. Kwa siku za karibuni inaniletea ujumbe unaosomeka kama ifuatavyo..:- "STORAGE SPACE RUNNING OUT. SOME SYSTEM FUNCTIONS MAY NOT WORK" nimejaribu kufuta baadhi ya vitu...
Habari zenu wanajukwaa. Nina tatizo na laptop yangu ya aina ya Acer E-series; tatizo ni kwamba nikiunganisha power cable inawaka na pia inaonesha battery inacharge, sasa kinachoisibu hii laptop ni...
Habari wanajf!
Kuna jamaa yangu kafuta playstore kwenye simu yake tajwa hapo juu.
Naomba msaada kwa wataalamu na mambo hayo ili nipate maelekezo nifanyeje ili kupata kuirejesha...
Wakuu nilikuwa na kaspersky 2015 katika laptop yangu ambayo Os ilikuwa Window8 baada ya ku upgrade na kuwa Window 10 nikataka kuirudishia ikakataa ina sema hii Os ina antivirus inazokuwa...
Cyber Security means different things to different people: for individuals, it can simply mean privacy; for companies it can mean the protection of sensitive information from malicious attacks...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.