Msaada wa key baada ya kufungua zipped file

Msaada wa key baada ya kufungua zipped file

FADHEEL

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
6
Reaction score
0
habari za muda huu ndg zngu. Nmefanikiwa kufulifungua 'compressed' file ambalo lilikua zipped ila tatizo linakuja kufungua mafaili yaliyo ndani yake ysnahitaj "keys" je nifanyaje ili kuzipata keys au njia nyingne ya kufungua haya mafaili.
 
Hayo mafaili ni yako? Kama siyo yako owner wake aliyawekea password. Bila hiyo password/key huwezi kuyafungua. Kama ni yako jaribu kukumbuka password uliyotumia...
 
Big Result Now....File lina pwd halafu unahitaji? Muulize mwenye file atakupa.
 
kama upo kwenye PC...tafuta kuna programs, ..za kucrack iyo password....izo programs...zinatumia algorithms flan had inaipata password husika
 
Back
Top Bottom