LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
wadau baada ya pita pita zangu na ufuatiliaji wa ni vipi zile torch za trafic zinafanya kazi na ni vipi au njia gani waweza ifanya ili kujikinga nayo nikakutana na hizi njiabkutokana kwa madereva.
kwa kuwasha weper ukimuona trafic anakupiga torch
kufunga nyororo mbele au nyuma ya gari uwe unaburuza barabarani.
kufunga cd empty mbele ya drive mirrow.
njia hii ndio hasa dereva 1 alinambia kuwa inafanya kazi akanambia kuwa kama utachukua cd empty na kuifunga kwenye drive mirror inazuia hata trafic akikupiga torch ile miale ya torch huwa inafyonzwa na ile cd empty na kushindwa kufanya kazi.
je wadau kiutaalam kuna ukweli juu ya hili??.
au juu ya njia hizo hapo juu??.