Tax ID number (EBay)

Tax ID number (EBay)

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Habari wakuu
nimeagiza item through eBay ila umedelay kufika
Baada ya kumuuliza Seller kanambia nimpatie Tax ID number
Sina Idea ni namba gani anayohitaji.
msaada tafadhali kwa hili.
shukrani.
 
Cha kufanya quote item number and date of purchase umtumie kama huna tax id number. Je ulipewa tracking number?
 
Cha kufanya quote item number and date of purchase umtumie kama huna tax id number. Je ulipewa tracking number?

Yeah nilipewa but haibadiliki, haionyeshi delivery or in transit na ni wiki mbili Sasa.
 
Jaribu kwenda posta yako. Mimi imewahitokea nilikaa three months while mzigo ulifika Dar 30 after purchasing
 
Nenda kaangalie posta kama mzigo umefika. Kama haujafika muulize huyo seller mbona hiyo track number haioneshi movement ya mzigo? Usikute bado kauweka anasubiri siku za kufile complain ziishe ale hela yako kirahisi.
Kama hujakuta mzigo wako posta na hiyo track number haifanyi kazi. Anza kufile complain ebay waambie mzigo wako haujafika na track namba haifanyi kazi.
Tax ID haimuhusu huyo seller, inakuhusu wewe buyer ambapo unakutana na hao tax officers posta au kwa courier vendors.
 
Back
Top Bottom