imekuaje hiyo bbm? Eleza tatizo lako.inaweza ika kumbe nitatizo dogo hata sie wa vitochi tukaweza.
pia ukitaka ipone fasta mwambie na chanzo cha kuzimika kwa bb yako.matatizo mengi ya simu yanasababishwa na vimiminika kama maji,pombe,jasho nk nk.pia umeme mala nyingi hutokea simu zikazimika wakati zikichajiwa. Kifupi utakuwa umemrahisishia.
mkuu mbna tatizo ni kubwa kama aidkteti kabisa wala taa aiwaki kabisa most be hardware hyo ni pm