Cheki ukubwa wa hard disk,,ikiwa ina gb nyingi itakusaidia kutunza vitu vingi.
Processor speed,,ram ina gb ngapi?
Betry inakaa na chaji mda gani??
Toleo? Ni pentium ipi,?
Ina uwezo wa kuendeshwa na category ngapi za Window eg xp,Window7 na labda 8.
Hayo maswali sijakuuliza wewe ila jiulize na uulize anaekuuzia hayo maswali upate kitu kizuri,,Prossesing speed ya kuanzia 2.5 kwenda juu inatosha,,pentium 5 na kwenda juu ni safi.processor speed ngapi na pentium ipi ni kama standard?
Mkuu kwa ubora zaidi na perfomance ya uhakika modeli hizo hapo :~~~habari.
naomba ushauri wa kitaalamu juu ya kununua laptop nzuri hasa kwa ajili ya masomo.
hasa kwenye specifications na sehemu gani kwa kununulia.
kwa bei ya kama laki nne.
natanguliza shukurani