Nahitaji mordem ya internet

Nahitaji mordem ya internet

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,272
Reaction score
987
Ndugu zangu kwa anaefaham mordem nzuri kabisa kwa matumizi ya internet anijuze ninunue moderm ipi.
 
nenda tigo mkuu bei ni elfu 25.. then utaeza i unlock utumie netwk yoyote..
 
najua ni internet ..ila kama unatumia kawaida tu ku browse na kudownload file za kawaida tu basi tafuta modem za mitandao yetu hii kama tigo ,airtel,voda kikubwa uangalie tu ni mtandao gani kwako una speed nzuri ya internet...pia waweza kuzi unlock ukatumia mitandao mingine.

kama wewe ni mtu wa files nzito unaeza tafuta modem zenye speed atleast 21.6
Mbps.
 
Shukrani sana kwa ufafanuzi
 
kcamp hz za speed kuanzia 7 hadi 21.6 Mbps zinapatikana sehemu gan hp dar?
 
Last edited by a moderator:
kcamp hz za speed kuanzia 7 hadi 21.6 Mbps zinapatikana sehemu gan hp dar?

Zipo maduka kibao tu...pita pita posta utazikuta ,kuna jamaa yangu alipata omni computers pale posta..
 
Last edited by a moderator:
Nunua Universal modem ambayo utaweka line yoyote na kutumia bila shida
 
Back
Top Bottom