Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Habari wadau humu jamvini. Kuna mdau mmoja nimemtembelea na nikakuta ana hiii kitu na anadai ni bora sana mpaka kaipiga kapuni receiver ya strong..
Naombeni maoni yenu je hiii kitu ni Kali kihivyo au jamaa tu anafanya Yale ya mwamba ngoma?
Cc: Njunwa Wamavoko mwl.RCT Chief-Mkwawa
Naombeni maoni yenu je hiii kitu ni Kali kihivyo au jamaa tu anafanya Yale ya mwamba ngoma?
Cc: Njunwa Wamavoko mwl.RCT Chief-Mkwawa
Attachments
Last edited by a moderator: