Naomba niwape somo la Cyber Crime na limitations zake. Hii sheria itafanya kazi kwenye mitandao lakini kumbukeni kwenye Whatssap itakuwa ngumu kwa sababu servers za whatssap hazipo Tz, zipo USA...
Wanajamvi naomba msaada wenu katika kuistaill game nime weka data kama inavyo takiwa lakini game lina maliza kuji instaill na lina endelea kuload kwa mda mrefu bila kufunguka kama kwenye...
simu imegeuza maandishi yanatoka kulia kwenda kushoto simu ni tecno y3 file zote hata kupokea badala kutoka kulia kwenda kushoto sasa imekuwa kushoto kwenda kulia
msaada tafadhari
Habari Wakuu.
Nina Samsung Galaxy S4 yangu imedondoka na kudamage screen, haiwaki kabisa, ila LED zinawaka.
Mwenye kufahamu fixing prices ya screen ni ngapi & suggestion za fundi. Shukrani.
Mara nyingi simu/computer huwa zinaingiza vitu (software) ambazo(vyo) huwa haviwi au haziwi za moja kwa moja (temporary application), lakini unaweza ukacheki na kuifanyia maintenance mara kwa mara...
Jambo wadau,
Ninataka nifungua ka school/chuo cha computer mtaani kwetu kwani nimeona hakuna mtaani na ina demand kubwa.
Msaada wapi nitapata computers kwa bei nzuri?
Smartphone za bei poa ambazo kiutendaji(perfomancewise) hazina tofauti kubwa na simu za bei ghali zinauzwa madukani.zaidi specification ndio zilele za high end phones isipokuwa camera na screen...
Katika kuiona simu aliyoionyesha gwajima kuhusu sms ya dr. slaa nimeshangaa kwa mara ya kwanza kuliona jina lile kwa mimi niliyezoea kuona samsung na tecno inaitwa Docomo Fujitsu F-10D Arrows...
Kama heading inavyosema,
Naombeni msaada katika Blogg angu, tatizo ni kwamba,
Nmetengeneza blog but nimekwama katika kuzipa link MENUS za blog angu za pale kwenye HEADER,
Kama kuna mwenye utaalam...
Kwa muda sasa str4922 imekuwa kiboko ya receiver maana ina kila unachokihitaji, sasa kwa sasa katika software iliyotoka kwa ajili ya receiver hizi utaweza kutazama chanel mbalimbali zenye movie...
mko poa wadau,natumia asus X453M ila nilipoinunua waliniwekea Window 7 ila laptop yenyewe nilipoinunua nikapewa na cd yenye drive za Window 8.1 nna shida ya window 8.1 wakuu, naombeni msaada ili...
Nchi ya Singapore karibu kila raia anamiliki simu ya kisasa ya mkononi, raia huko ni milioni sita pekee.
Kwa sababu ya uraibu huu nchi imejenga kiliniki maalum ya kuwashugulikia walio na tatizo...
Wadau,
Leo naomba kwa wale wenye maswali kuhusu biashara ya radio watupie hapa tutakuwa nao pamoja.
Mfano kuhusu:-
- Vipindi
- Vifaa
- Gharama za kuansiah radio yako
- Human Resource
- Mitambo
-...
Habarini wakuu Nina simu yangu Sony experia z3 yani ikiwa mfukoni huwa inajizima bila mimi kuzima halafu nikiiwasha haiwahi hadi niichaji ndo niwashe iwake. Pia nkisikiliza mziki na earphone huwa...
Habari za wakati huu wakuu,,,
Nina laptop yangu aina ya Acer inatatizo la internal mouse (touch pad) hairespond.
Hivyo nalazimika kutumia usb mouse..naomba msaada wenu jinsi ya kurekebisha hili.