Namna gani simu yangu itumie line zote!

Namna gani simu yangu itumie line zote!

Joined
Apr 3, 2014
Posts
19
Reaction score
9
Habarini za wakati huuu wakuu.

Nina shida simu yangu nataka itumie line zote kwa sasa natumia tigo tuu ni HUAWEI 330
 
nichek PM mm na unlock simu zote kwa shilingi 10,000 tu
 
Habarini za wakati huuu wakuu.

Nina shida simu yangu nataka itumie line zote kwa sasa natumia tigo tuu ni HUAWEI 330

Kipindi Unainunua Hukiona Muundo, Ukashangazwa Na Muonekano Wake? "Kichwa Kikubwa Akili Nukta"
 
Habarini za wakati huuu wakuu.

Nina shida simu yangu nataka itumie line zote kwa sasa natumia tigo tuu ni HUAWEI 330

Kipindi Unainunua Hukiona Muundo, Ukashangazwa Na Muonekano Wake? "Kichwa Kikubwa Akili Nukta" au wewe ni miongoni mwa wale waendao dukani na kusema "nipe nguo kama ya Masanja ile"?
 
Back
Top Bottom