Dstv

Dstv

Anyone know how to get dstv programmes for free.
Rafiki yangu, hao wajanja wa afrika kusini ni noma! hawafai kuibia. Kuna msela mmoja dar maeneo ya sinza alijaribu
hii kitu wakamstukia wakamkamata.Wana maajenti wengi kwenye miji mikubwa kuchunguza uchakachuaji wa chaneli zao.
Hata akitokea mtu kukueleza kwamba anajua hayo maujanja kaa naye mbali.
 
Asante mkuu kwa kunishtua. Duh
 
Rafiki yangu, hao wajanja wa afrika kusini ni noma! hawafai kuibia. Kuna msela mmoja dar maeneo ya sinza alijaribu
hii kitu wakamstukia wakamkamata.Wana maajenti wengi kwenye miji mikubwa kuchunguza uchakachuaji wa chaneli zao.
Hata akitokea mtu kukueleza kwamba anajua hayo maujanja kaa naye mbali.
Acha kutishia nyau wewe wakala feki wa dstv, mbona nipo hapa nakula premium package ya bureeee! Sema kwa siku hizi mbili hatuwapati kwa ajili ya maintenance!
 
Ninakutafuta ntakupata tu!
 
Acha kutishia nyau wewe wakala feki wa dstv, mbona nipo hapa nakula premium package ya bureeee! Sema kwa siku hizi mbili hatuwapati kwa ajili ya maintenance!

sema baba semaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom