mzee wa magumashi
Senior Member
- Oct 10, 2012
- 137
- 44
Mwenye uzoefu na Noah naomba msaada. Kipi cha kuangalia ili kuhakikisha iko safi?
nataka ya biashara kubeba abilia nafikir old fashion ndio itanifaa hizi new czani Kama itadumu mbio ndefu za kila SKU..
asante kwa ushaur @ ofisa
Hivi Toyota Noah ni gari ya biashara?
Duh...
Wewe unatoka wapi?, au ndio nyie mnang'ang'ania dar hamtaki kwenda mikoa mingne mnadai dar ndio kila kitu!. Kichwa chako kifunguke hata kwa kufanyiwa maombi kanisani, maana mikoani usafiri wa kubeba abiria ni baskeli, bodaboda, bajaji ya matairi ma3, noah, hiace ndogo na coaster. Usishangae sana maana tutakuona wewe ndio mshamba tena boya. (pumbavu na lofa)