Frank King
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 1,310
- 886
Wakuu heshima kwenu Ma-IT na Ma-Technician...Jamani kiselula changu kimegoma ku-lunch Google play..Nishajaribu njia nyingi ikiwa ku-clear cach,kui-unst na ku-inst tena..na mpangilio wa data ni 3G,binafsi naona njia mbadada ni aidha kuiflash au kuiroot...sasa naanzia wapi na namalizia wapi?aina ya simu ni Samsung G trend.Natanguliza shukrani...