Willy Gamba 1
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 352
- 377
Wadau salute kwenu,
Kama kichwa cha topic kinavyoashiria uhitaji wa haraka wa msaada wenu kwa ajili ya tatizo lililoikumba ghafla simu yangu.
Natumia Samsung Note 3 nimeiwasha sasa hivi ikawaka vizuri ila inatoa ujumbe 'launcher isn't responding. Do you want to close it?' kuna option ya 'wait na ok'. Zote nimejaribu kuzifuata lakini screen ya simu haileti icon yoyote na imebaki plain tu!! Naombeni utatuzi sababu ni simu ninayoitegemea sana ikizingatiwa sina mpango wa kuingia shop kununua simu nyingine kwa sasa.
Nipo kusikia toka kwenu