Naomba msaada kupata jf app kwenye simu ya blackberry Q5

Naomba msaada kupata jf app kwenye simu ya blackberry Q5

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
539
Reaction score
209
Naombeni msaada kwa mwenye ufahamu wa namna ya kuipata JF application kwenye blackberry Q5. Tofauti na Aina zingine za blackberry nilizowahi kutumia, hii simu haina JF app kwenye blackberry world. Pia ina Amazon app store lakini nimetafuta JF sijaipata. Kama kuna anayefahamu namna ya kuipata naomba msaada waungwana.
 
Back
Top Bottom