Ninatumia mtandao wa halotel kwa siku kadhaa sasa lakini kwa siku ya kwanza nlipotumia internet ilikuwa fasta sana ghafla ikapungua na kuwa ndogo sana lakin ipo kwenye 3GH+ nin linaweza kuwa tatizo na bando yangu ni bila kikomo.
Utakuwa frelansa wa hallotel wew maana bado hawajaanza kutoa Lain kwa wateja ,Lain zilizo toka ni za usajil tuu , mmpewa 5G bure na dk 300 hallotel to hallotel bure ,sa utampigia Nani kama sio frelansa mwenzako ,subir wawashe sets zao
Hapo kwenye 5G hujakosea kweli?
mimi nimemaliza gb 5 ndani ya masaaa 2 hapa nawaza naongezaje data
mimi nimemaliza gb 5 ndani ya masaaa 2 hapa nawaza naongezaje data
ulikua unapakuwa tamthilia nini?
Ilkuwa isidingo kuanzia episode 1