Msaada:facebook profile

Msaada:facebook profile

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,953
Reaction score
2,044
Wakuu huu ni mwezi wa 2 unaisha nashindwa kutumia akaunt yangu fb,mwanzo kabla ya kujifunga,ilikuwa ikilileta picha za marafik zangu nidhibitishe kama nawajua,lakin baada ya muda kila napo log in licha ya kuweka namba sahihi na neno la siri imekuwa ikikataa,profile yangu ina page ambayo nilikuwa nikiwasaidia vijana wenzangu kuwatangazia nafas za kazi sasa wanaikosa hiyo huduma takriban miez miwil hii yote.mwenye ujuz zaid anipm tusaidiane kuwasaidia watz wenzetu pind page ikirud hewan.asanten
 
You can simply reset password by using Mobile phone number or e-mail used to register your Facebook account!! Otherwise, it's not your account or else you want to hack it!!!!:A S-rap:
 
Back
Top Bottom