Samsung galaxy E7

Samsung galaxy E7

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Nimetumia hii simu week mbili sasa...
Honestly sijutii hela yangu..

Ila kwenye matumizi yangu nimebaini vitu kadhaa.. Ningependa kushare then tupeane updates/ufundi/utundu...

The good things kwenye hii simu
(1) display.. Display ni nzuri sana..
  • Fast software
  • Good cameras, kwa wapenda picha hapa unaweza kuwa kichaa..
  • Battery life is very good..

Lakini kuna hivi vitu kama.:

Huwezi kutumia microSD card with dual SIMs ( ukiweka line mbili huwezi tumia memory card)
  • Loudspeaker somehow iko poor
  • Then hakuna auto brightness option

All in all.. Simu iko pouwa sana.. Mm nime baini hivi.. Am sure wataalamu watatuambia mengine
 
Umetoka s4 ukaenda hapo? Mbona kama Ni downgrade?

Hio brightness unaweza tafuta solution ya 3rd party apps
 
Mkuu s4 ilipasuka kioo... Nikaona gharama za kuanza kuihudumia then mm huwa sipendi kitu chagu kiguswe guswe na mafundi, fundi naye muamini ni kinyozi tuu, labda naye kwa kuwa mnamalizana hapo hapo.. Bt tungekuwa tunamuachia kichwa tunakifuata baade ingekuwa habari nyingine pia.. So Kuna mtu kaichukua akanipa pesa kaenda ihudumia mwenyewe, na hii E7 nilimuagiza mtu dubai... Haijani cost kivile... Labda Chief-Mkwawa unisaidie why umesema "downgrade" ..
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1444393655639.jpg
    1444393655639.jpg
    48.7 KB · Views: 201
  • 1444393670346.jpg
    1444393670346.jpg
    49.9 KB · Views: 187
  • 1444393686654.jpg
    1444393686654.jpg
    55.6 KB · Views: 184
Last edited by a moderator:
E7 & S4 me nimeona hivi mkuu Chief-Mkwawa

Kikubwa Ni processor na gpu umedowngrade sana, pia display toka 1080p hadi 720p.

ILA yote inategemea na kiasi ulicholipa, kama si kikubwa Ni simu nzuri tu, hasa upande WA ram compare na specs zake.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina ndogo yake E5 and I tel you, hii smart phone ni kali sana. Kuanzia camera, imagine ina front camera ya 5 Megapixels just like s6
Kingine ni battery life, ina kaa saana.
 
Yangu inakula chaji kama mwehu.bora tecno yoyote
 
Mimi nina ndogo yake E5 and I tel you, hii smart phone ni kali sana. Kuanzia camera, imagine ina front camera ya 5 Megapixels just like s6
Kingine ni battery life, ina kaa saana.

Megapixel sio quality, usitegemee wakuekee camera sawa na s6
 
Mimi nina ndogo yake E5 and I tel you, hii smart phone ni kali sana. Kuanzia camera, imagine ina front camera ya 5 Megapixels just like s6
Kingine ni battery life, ina kaa saana.


Mkuu kwenye battery life wamejitahidi sanaa binafsi nimewakubali..

Camera yake it's very good....

Bt megapixel sio quality ya camera.. Ndo maana sometimes unaona tecno ana megapixels 8/12/16 bt quality ya camera mmhh..
Bt angalia iPhone 4 ina megapixels 5 bt quality ya picha ni nzuri sana... Fanya uchunguzi..
 
Ninayo E5 lakini nayo sijajutia kabisa pesa niliyolipa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom